Orodha ya Majina ya Watumishi wenye Vyeti Fake

You may also like...

2 Responses

  1. Paschal k. bundala says:

    Nawapa pole ndugu zangu wote walio kumbwa na Tingatinga la kufutwa kazi kwa ghafla bila ya wao kuwa wamejiandaa kisaikolojia na maisha. Cha kuwatia moyo, wanapaswa kujikubali na kuyapokea haya kwa namna tu yalivyokuja na pia watambue hizi no sehemu za changamoto katika maisha. Ukweli kazi inayofanya na mh. Rais wetu, Dr. John Magufuli no nzuri na inatukumbusha makatazo ya kimungu na biblia kuwa WIZI in dhambi. Hivyo wote mlio gushi vyeti mlifanya ubatili mtupu. Hivyo kabla hujailalamikia serikali, anza kujilalamikia wewe mwenyewe kwa uovu na ubatili ulioufanya hapo awali. Rais magufuli ndie Simba wa Tanzania kwa watu wote walionyimwa haki zao na hawa kinahana wa kufiji na kupesti.

  2. peter godfrey says:

    kweli kabisa Mkuu, Msemakweli Mpenzi wa Mungu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Skip to toolbar