Kuanzaia mwaka huu 2018 “Mitandaoni” imefanya maboresho makubwa zaidi, mwaka mpya 2018 na mambo mapya, sasa hivi unaruhusiwa kuweka tangazo lako bure “classified Ads” nasi tutakutangazia bure kabisa, unachotakiwa kufanya ni kuregister tu, kufanya registration ni kitendo cha sekunde kumi tu, weka tangazo/ matangazo utakavyo hakuna kikomo.

Unaruhusiwa kuweka matangazo yanayohusu
1.kuuza/kukodisha gari
2.kuuza/kukodisha nyumba
3.Kuuza /kukodisha kiwanja
4.kuuza / kukodisha nguo
5.kuuza vifaa vya electronics kama Simu, Computer, etc
6.kuweka tangazo la kazi
na mengineyo mengi

Pia unaruhusiwa kuweka habari za michezo, za kimataifa, biashara na burudani,
Pia tunakaribisha maoni na ushauri tanapenda kuwashukuru wale wote waliotoa ushuri/maoni
Ndani ya wiki tatu website yetu imetembelewa na zaidi ya watu elfu 70. Tunashukuru kwa mwitikio huu mkubwa.
Ili kuendelea kuboresha zaidi mitandaoni website tumetangaza nafasi mbili za kazi, web designer na administrator tangazo la kazi linaptaikana kwenye ukurasa wa “JOBS”

Aksanteni

Mitandaoni Team

Leave a Reply