Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema muungano wa serikali yake uko imara, siku moja baada ya polisi kutoa pendekezo la yeye kushtakiwa kwa kesi mbili za ufisadi.

Ameeleza kuwa madai hayo ya ufisadi ni yenye “kumkandamiza, yamevuka mipaka na kuna dosari nyingi kama vile ilivyo jibini ya Uswiz” na kuahidi kuendelea na uongozi wake.

Polisi wametuhumu Netanyahu kwa kupokea rushwa na kukiuka dhamana aliyopewa kwa kumhusisha na kashfa mbili za ufisadi na wanasema kuna ushahidi wa kutosha wa kumfungulia mashtaka.

Wapelelezi wa polisi wamedai kuwa Netanyahu alipokea takriban dola za Marekani 300,000 kama zawadi kutoka kwa mabilionea wawili, zikiwemo aina ya sigara kutoka Cuba “cigars”, ulevi aina ya champagne na mapambo aliyopokea kinyume cha sheria.

aziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu amesema muungano wa serikali yake uko imara, siku moja baada ya polisi kutoa pendekezo la yeye kushtakiwa kwa kesi mbili za ufisadi.

click HERE to go to listing pages.
click HERE to go to mitandaoni pages.

Leave a Reply