Image result for arsenal wenger

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu.
Wright pia aliwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutojituma na kudai kwamba mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke hajali.
Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 2018, ya hivi karibuni ikiwa fainali ya kombe la Carabao dhidi ya Manchester City.
Vijana wa Wenger watakuwa wenyeji wa viongozi wa ligi Manchester City mechi ya Ligi ya Premia mnamo Alhamisi, siku nne baada yao kupokezwa kichapo cha 3-0 katika fainali ya Kombe la Carabao na Manchester City uwanjani Wembley.
Arsenal kwa sasa wamo alama 27 nyuma ya City na alama 10 nyuma ya Tottenham walio nafasi ya nne na walio nafasi ya mwisho ya kufuzu kwa Ligi y

‘Wenger amekuwa akitoa sababu na kwamba anawapendekeza na kuwatetea wachezaji wake’, Wright aliambia bbc radio 5 live.
‘ Iwapo atasalia msimu ujao sioni sababu na sidhani kwamba mtu yeyote anaweza kufanya hivyo. mambo kama haya ni sharti yafikie ukingoni’.
Akizungumza siku ya Jumatatu , Wright ambaye alifunga magoli 158 kati ya mechi 288 alizoichezea Arsenal na kustaafu katika kandanda 2000 alizungumzia kuhusu haya:
Malengo kwa Arsenal kusonga mbele.

Mmiliki wa Arsenal anafaa kuchukua udhibiti
Viwango vinavyohitajika kwa Mkufunzi mpya wa Arsenal.

click HERE to go to listing pages.
click HERE to go to mitandaoni pages.

Leave a Reply