TRA yasamehe biashara zilizofungwa ziendelee katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara,

Posted on March 19th, 2018 by admin

TRA yasamehe biashara zilizofungwa ziendelee MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeagiza biashara zote, yakiwamo maduka ilizofunga katika mikoa ya kusini Lindi na Mtwara, zifunguliwe na kuendelea kuhudumia jamii na Serikali iweze kupata kodi yake. Aliyetangaza kusitishwa kwa uamuzi huo ni Kamishna wa kodi ya mapato za ndani, Elijah Mwandumbya, kwenye kikao cha pamoja kati yake […]

Read More

NAFASI MBALI MBALI ZA KAZI

Posted on March 14th, 2018 by admin

NAFASI MBALI MBALI ZA KAZI LEO: FUNGUA HAPA-JOBS

Read More

Posted on March 14th, 2018 by admin

NAFASI MBALI MBALI ZA KAZI LEO:FUNGUA HAPA-JOBS

Read More

Nafasi za kazi Halmashauri ya Wilaya ya Geita

Posted on March 12th, 2018 by admin

HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA; DOWNLOAD HERE- NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA. AIR TRAFIC CONTROLLER, 30-CANDIDATES; DOWNLOAD HERE-TRAINING OPPORTUNITIES IN AIR TRAFFIC CONTROL (30 CANDIDATES). Je unatafuta kazi? unataka kubadilisha kazi uliyonayo sasa..angalia matangazo mbali mbali za nafasi za kazi Tembelea click JOBS to go to Jobs page. click HERE to go […]

Read More

Nafasi mbali mbali za kazi

Posted on March 10th, 2018 by admin

Je unatafuta kazi? unataka kubadilisha kazi uliyonayo sasa..angalia matangazo mbali mbali za nafasi za kazi Tembelea click JOBS to go to Jobs page. click HERE to go to listing pages. click HERE to go to mitandaoni pages.

Read More

Wenger afananisha Arsenal na bondia ambaye anajikakamua kuinuka baada ya kupigwa konde na kuangushwa ulingoni

Posted on March 10th, 2018 by admin

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger alifananisha klabu yake na bondia ambaye anajikakamua kuinuka baada ya kupigwa kondena kuangushwa ulingoni na jinsi klabu hiyo ilivyojikwamua na kulaza AC Milan 2-0 katika Europa League baada ya msururu wa matokeo mabaya. Wenger alisema pia kwamba matatizo hayadumu. Arsenal walikuwa wanakabiliwa na uwezekano wa kushindwa mara ya tano mtawalia […]

Read More

Ofisa Msaidizi wa (TRA), amefikishwa katikaMahakama akikabiliwa na shtakala kushawishi rushwa

Posted on March 10th, 2018 by admin

Ofisa Msaidizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Joyce Amon amefikishwa katikaMahakama ya Wilaya ya Ilala akikabiliwa na shtakala kushawishi rushwa. Decemba 12,2017 katika eneo la Gerezani Kariakoo Wilaya yaIlala mshtakiwa huyo akiwa mwajiriwa wa TRA kama Ofisa Msaidizi wa Kodi alishawishi rushwa ya Sh800,000 kutoka kwa Antelo Sanga ili asiwezekumwandikia cheti cha […]

Read More

Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger akalia kuti kavu

Posted on March 2nd, 2018 by admin

Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Ian Wright anasema kuwa hakuna sababu za kusalia kuwa meneja baada ya msimu huu. Wright pia aliwashutumu baadhi ya wachezaji kwa kutojituma na kudai kwamba mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke hajali. Arsenal imepoteza mechi sita kati ya 12 2018, ya hivi karibuni ikiwa fainali ya kombe la Carabao dhidi […]

Read More

Agency UN Women-Title Communications Analyst

Posted on March 1st, 2018 by admin

Agency UN Women Title Communications Analyst Job ID 14734 Vacancy End Date 09/03/2018 Duty Station Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of Background UN Women, grounded in the vision of equality enshrined in the Charter of the United Nations, works for the elimination of discrimination against women and girls; the empowerment of women; and the […]

Read More

Dk Charles Kimei ameonya kuwa umakini unahitajika katika mamlaka za Serikali kwa kuwa kutoa siri za mteja kutoka benki

Posted on February 24th, 2018 by admin

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Benki Tanzania (TBA), Dk Charles Kimei ameonya kuwa umakini unahitajika katika mamlaka za Serikali kwa kuwa kutoa siri za mteja kutoka benki na kuziweka hadharani kunaweza kuua sekta hiyo. Kimei, ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa CRDB alisema hayo wakati akitoa mada katika kongamano la maendeleo ya viwanda lililofanyika katika Chuo cha […]

Read More