Rais Magufuli ametangaza leo kuwa, Serikali itampatia kiasi cha Shilingi milioni 100, Mzee Jumanne Ngoma ambaye ni mvumbuzi wa madini ya Tanzanite ili aweze kujitibu maradhi yanayomsumbua na kujikim

Pia amesema wataweka miundombinu itakayiwezesha wananchi wa Simanjiro kunufaika na biashara ya madini ya Tanzanite kwani wafanyabiashara wanaonunua madini hayo wamekuwa wakienda Arusha mjini au Dar

Rais Magufuli: Wananchi wa hapa hawafaidiki, serikali haifaidiki.. wamekuwa tu wakinufaika watu wa Mataifa mengine. Tumekataa; Serikali ninayoiongoza mimi, iko kwaajili ya kulinda maslahi ya Watanzania wanyonge wa Nchi hii

Rais Magufuli: Kuna mahali kuna madini ya Tanzanite sitapataja,siku zijazo tutaweka ukuta,kila palipo na mali zungusha,ili rasilimali hizi ziwanufaishe watanzania,Hata Mlima Kilimanjaro tukiona tunataka kuweka ukuta tunazungushia tu

Rais Magufuli: Kamishna wa madini alitaka kuharakisha mambo, Mimi nikamuharakisha mapema ,nikamtoa!

Rais Magufuli: Faida za ukuta huu ni nyingi, kuimarisha usalama, lakini value for money itaonekana miongoni mwa wananchi

………………………………………….

>>> Nafasi mbali mbali za kazi
>>> Weka Tangazo lako Hapa
>>> Fungua hapa kwenda ukurasa wa Mbele

Leave a Reply